Habari ya kazi Voiet. Mimi ni kijana wa kiume, i have 18yrs, hadi sasa naishi Zanzibar katika wilaya ya Mjini. Nilikua nikitembelea kwa siku nyingi katika blogi zako zinazohusiana na suala zima la MAPENZI, katika utafiti wangu juu ya suala hilo, nimefaidika na mambo mengi sana yanayohusu MAPENZI, kwa mfano, jinsi ya kumpata mwanamke akupendae, pia vipi utaweza kuishi kuishi nae, na vipi munaweza kuboresha na kudumisha mapenzi yenu na mengineyo. Nashkuru sana nimefaidika kwa kiasi kikubwa sana kupitia BLOG zakoAnt Voilet.
Ila lakini, pamoja na yote hayo, niliyoyapata kupitia BLOG zako bado mimi nina tatizo moja tu ambalo linanikwaza katika MAPENZI yote kwa ujumla, kwa kutumia TAALUMA ambayo nimeipata kupitia BLOG zako, nahisi nikitu MUHIMU sana katika MAPENZI pia inaweza ikapelekea kuachana na MPENZI wangu na ni kitu ambacho mimi sijakipanga maishani mwangu kumsaliti yeye kwani NAMPENDA.
Tatizo langu Ant Voilet ni kwamba mimi hadi sasa bado sijajua jinsi gani ya KUMBEMBELEZA MPENZI wangu, kwani yeye kila siku ananmbia NIMBEMBELEZE wakati wa usku asa na mimi sijui kwa sababu mimi nilitaka kuyajua MAPENZI kabla ya kumpata MPENZI,aidha naliyasoma kwanza yakoje halafu ndo nikaingia,bali yeye anambia nimwambieMANENO MAZURI YA MAPENZI YENYE KUMLIWAZA WAKATI WA USIKU ANAPOTAKA KULALA,husema yeye hapati usingizi na mimi pia nimeshachoka kumdanganya, kwaiyo nakuomba Ant Voilet kwa ROHO YA UNYONGE na nainamisha kichwa changu chini na napinda magoti yangu chini na nainua mikono yangu juu kupokea MSAADA wako kwani nakuomba unisadie juu ya hilo kwani NAMPENDA ZAIDI YA ANAVYOFIKRIA na sitaki nimpoteze. Pia nimeshamuahidi Mungu ikiwa hatochukua roho ztu nitakuja kufunga nae NDOA.
Wema Sepetu
Who doesn't know Wema Sepetu !..even one year old child knows who Wema is. Apparently Wema is a superstar no discussion about that. Her movies do good business, but she is highly popular for personal life and her relationships especially with superstar Diamond Platnumz is still the most talked about in the media although they parted ways in late 2014. Wema has huge fan following but her acting is very normal lets is say poor. According to her fans in and outside Tanzania, no one like Wema even in acting. But when we look at her career graph it is had to say this or that is her best performance, but she looked good in Red Valentine. In some movies Wema's voice also need to be dubbed by another actress, her voice is very choosy when it comes to characters. But we think if she becomes serious with acting she will perform well
Jokate Mwegelo
The so-called multi-talented Jokate has indeed performed poorly in almost all of her movies. She debuted in Fake Pastors years ago. Although the film's story was good but it's leading ladies namely Jokate and Lisa Jensen both under performed. Today Lisa is a forgotten actress while Jokate keep doing movies. She has done From China With Love, Chumo, Mikono Salama. Although she was average in Chumo but she ended up being overshadowed by Johari in From China With Love. Even we wonder how she got Best actress for Mikono Salama at ZIFF since she didn't do justice to the role !. But we can conclude that she won the award because the year's movies submitted were few. We think Jokate should stick to presenting and designing not acting. She has so poor expressions and least convincing acting.
PATA OFA YAKO LEO BOFYA HAPA CHINI KUJUA ZAIDI
Post a Comment