...
Loading...
Home » Archives for 04/25/15
ZARI AONYWA NA DACTARI VIATU VIREFU NA UJAUZITO NI SHIDAH
MWANDISHI WETU
UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ameonywa kuacha viatu virefu kutokana na ujauzito alionao.
Kwa mujibu wa daktari mmoja ambaye hakupenda jina lake lichorwe gazetini, alisema kama anataka kujifungua salama basi...
WEMA ADAIWA KUTIBUA NDOA YA PETIT MAN
Hatimaye lile sekeseke la ndoa ya meneja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaosimamiwa na Kampuni ya Endless Fame, Petit Man na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Platnumz limemdondokea Wema Isaac Sepetu anayedaiwa kuitibua kiasi...
BREAKING NEWZ.... MKE MTARAJIWA APASUA JIPU
Erick evarist KWELI! Baada ya mitandao mbalimbali kuripoti habari zinazokinzana juu ya tukio la bwana harusi mtarajiwa aliyetajwa kwa jina la Stephano kunaswa kwenye tukio la ujambazi muda mfupi baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Happy Merere,...
NAY WA MITEGO, SHAMSA MKE NA MUME!
Musa Mateja Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’, sasa wanaishi kama mke na mume. Mwigizaji...
A WONDER STORY CLICK TO READ.........'Right' Reasons to Get Married

This is a very important question and sadly, I don't think many people actually ask themselves this question until it's too late. Lets talk about the "right" reasons to get married:You share common beliefs about life and marriage. You are capable...
AMANDA ACHARUKIWA KISA NGOMA
MWANDISHI WETU MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa baada ya kukanusha kuwa hana ugonjwa wa Ukimwi, mpenzi wake amemcharukia kweli akihoji kwa nini akanushe kama hana? Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’....
WEMA AKUBALI WAGANGA 26 KUMTIBU
KUFUATIA tatizo la kushindwa kupata ujauzito alilonalo msanii maarufu Bongo, Wema Sepetu, hivi karibuni waganga wapatao 26 kutoka sehemu mbalimbali nchini walijitokeza na kuomba kuunganishwa na staa huyo ili wamtibu. Msanii maarufu Bongo, Wema Sepetu....
ZITTO SPIDI 120
Na Elvan Stambuli MWENDO wa Kiongozi Mkuu wa Alliance for Change and Transparency (ACT) Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe (pichani) umetafsiriwa kuwa ni wa spidi 160 kutokana na kujawa wasikilizaji katika mikutano yake anayofanya kwenye mikoa mbalimbali...
CHADEMA NUSURA WAMUUE CHENGE
Na Mwandishi Wetu Kimenuka! Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Bariadi, Simiyu, juzi almanusra wayakatishe maisha ya mbunge wa jimbo hilo, Mheshimiwa Andrew Chenge (pichani) baada ya kuvamia msafara wake, hali iliyolazimu risasi...
MAMA KANUMBA, MAMA LULU KIMENUKA!
Mwandishi wetu Taarifa zilizotua kwenye dawati la gazeti hili zinadai kuwa, wale wamama wa mjini ambao walikuwa mashosti hadi kufikia hatua ya kusema ni kama ndugu, mama wa aliyekuwa staa wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa na mama...