Loading...

Kampuni ya mabasi ya City Boy imefungiwa kufanya biashara ya kusafirisha abiria

Siku moja baada ya kutokea ajali ya mabasi iliyosababisha vifo vya watu 30 na majeruhi kadhaa, Kampuni ya mabasi ya City Boy imefungiwa kufanya biashara hiyo kwa muda usiojulikana.

AJALI MBAYA YATOKEA KIHESA IRINGA WATU WATATU WAFA NA KUWAKA MOTO





Ajali mbaya imetokea huu wa usiku Mjini Iringa eneo la kihesa Kilolo baada ya watu watatu waliokuwa kwenye bodaboda kugongana na lori aina ya fuso iliyokuwa inatoka mjini Iringa kuelekea Dodoma ktk barabara ya Iringa -Dodoma na wote watatu wamekufa eneo la tukio kwa kuwaka moto pamoja na piki piki yao picha hazifai.
cdt: mzee wa matukio
Older Posts
© Copyright Bongo Mirror | Designed By BONGOJAMII.COM
Back To Top