Loading...

Fashion; BEST RED CARPET LOOKS FROM 2016 ESPY AWARDS

Gossip news accusation of Jini Kabula Dating Dar Young African’s head coach, Hans van Pluijm

Siri 3 zitakazosaidia mahusiano yako yadumu muda mrefu

Mahusiano mengi yamekuwa yakivunjika kwa kushindwa kudumu kwa muda mrefu kutokana na kila mtu kumchoka mwenzake. Unaweza kuwa katika uhusiano kwa muda mrefu na kamwe usichoke kumwona au kutaka zaidi kutoka kwa mpenzi wako.

Billnas aeleza aina ya mwanamke anayemwitaji ‘akimwogopa Mungu wake hata mimi hatanisaliti’

Mwanamuziki anayefanya vizuri na wimbo ‘Chafu Pozi’ Billnas amefunguka na kueleza aina ya mwanamke ambaye ataweza kufanya naye maisha.

Hali si Shwari Nchini Kenya, Al-Shabaab Wavamia Kituo Cha Polisi na Kuua Polisi Sita

Jux: Ni noti za dola mia, saa za bei ghali na cheni za madini ya thamani (Picha)

Panapokuja suala la kuonesha fedha, saa za bei ghali na cheni za madini ya thamani, hakuna anayeweza kuwafikia Diamond na Jux.

Picha: David Cameron atoa hotuba ya kung’atuka uaziri mkuu akisindikizwa na familia yake

David Cameron alitoa hotuba ya kuaga kama waziri mkuu wa Uingereza kwa kusindikizwa na familia yake huku akisema amefurahia miaka yote aliyoishi 10 Downing Street.

Picha ya Rais Zuma akimbusu msichana huyu yawa gumzo SA

Picha ya msichana akimbusu Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma imezua utata nchini humo.

Clouds Television launch Fiesta 2016 Tigo Ft Prime time Promotion

Funny and Joke Photo of the day;When your girl pays more attention to her make up brush than you

Man Utd nambari tano kwa utajiri duniani

Klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza imeorodheshwa ya tano kwa utajiri duniani na jarida la Forbes, thamani yao ikiwa imepanda kwa asilimia saba.

Maisha ya Yacht: Cristiano Ronaldo, mama yake na mwanae wala bata Ibiza (Picha)

\Baada ya ushindi kinachofuata ni kusherehekea. Na hakuna sherehe nzuri kama unapomchukua mama yako mzazi na mwanao kuwapeleka kwenye kisiwa cha raha duniani, Ibiza, Hispania.

Kobe Bryant na mkewe watarajia kupata mtoto wa tatu

Mchezaji kikapu mstaafu wa timu ya Lakers, Kobe Bryant na mkewe, Vanessa wameweka wazi kuwa wanatarajia kupata mtoto wa tatu.

Waziri Mkuu mpya wa Uingereza atangaza baraza lake jipya la mawaziri

Waziri mkuu mpya wa Uingereza, Theresa May amemteua Boris Johnson kuwa waziri wa Mambo ya Nje na Philip Hammond kuwa Waziri wa Fedha wa nchi hiyo.

Ni kweli najiuza, lakini Nay si type yangu – Gigy Money

Gigy Money amedai kuwa lisemwalo lipo kuwa yeye ni msichana anayejiuza, lakini Nay wa Mitego si mwanaume wa type yake.
Wawili hao wamekuwa wakirushiana vijembe tangu Gigy amshutumu Nay kwa kutomlipa ujira wake baada
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Mirror | Designed By BONGOJAMII.COM
Back To Top