Loading...

MZUMBE & T.I.A MBEYA ZANUKA NGONO,WANACHUO WAJIUZA KILA KONA ?///////
















PICHA ZA AGNES MASOGANGE AKIPONDA RAHA DUBAI BAADA YA KUTIMULIWA SOUTH

 











TAZAMA PICHA ZA POLISI HAWA WALIOPIGWA PICHA WAKIFANYA MAPENZI OFISINI MDA WA KAZI,,








click to check amazzing accident video





MASIKITIKO MAKUBWA......STEVE NYERERE AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUPATA TAARIKA ZA KIF.......

 




 

BWANA AMETOA BWANA AMETWAA,,,MSANII MAARUFU WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA JANA JIONI AKIWA ANA,,,,,HABARI ZOTE HAPA

 
 

Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Wasanii wa Bongo Movies Kujitengenezea ‘Skendo’


 

Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amesema baadhi ya wasanii wa bongo movies hawajitambui ndio maana kazi zao nyingi hazina mvuto badala yake nguvu nyingi wameelekeza kubuni skendo wakitarajia ndio ziatawatoa kisanaa.
Alisema wasanii wengi wanatumia muda mwingi kutafakari jinsi ya kutengeneza skendo ili watume kwenye mitandao na kuandikwa kwenye magazeti lakini hawana ubunifu wa kutengeneza filamu zenye ushawishi kwenye jamii.
Aunt ambae kwenye filamu ya Chozi la Wanjaa amecheza kama mke wa Dude alisema kwamba endapo wasanii wanaofanya mchezo huo hawata badilika ni ukweli usiopingika kwamba soko la filamu inchni litaendelea kudumaa kama ilivyo sasa.
“Ni ukweli kwamba baadhi ya wasanii wa filamu hawajitambui kwani akili yao wameelekeza kwenye kutengeneza skendo badala ya kubuni namna ya kuigiza filamu ambazo zinaweza kuwa na mvuto kwenye jamiiinayoziangalia kinyume na hapo tutaendelea kusaka wachawi wanaoua soko letu’- Aunt Ezekiel alilieza gazeti la Filamu
Mdau una maoni gani juu ya hoja hii ya wasanii kutengeneza skendo, je ni kweli? Msanii gani unahisi ndio kazi yake
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Mirror | Designed By BONGOJAMII.COM
Back To Top