
Baada ya madai kuwa msanii wa filamu, Steve Nyerere alikuwa na matumaini ya kuteuliwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli katika uteuzi wa wakuu wa wilaya (ma-DC) wapya, staa


Muongozaji wa video za wasanii kibao wa Tanzania zikiwemo Bado, Make Me Sing na Moyo Mashine, Nicrox, yupo nchini.
Fedheha kubwa zaidi inayowakumba mastaa wa wengi wa Bongo Flava ni kutokujua kuongea Kiingereza.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda anayaoga matani ya kila aina kwenye mtandao wa Twitter baada ya picha yake akionekana akiwa anaongea na simu pembezoni mwa barabara 
Rapper wa Malawi na staa mwenye ushawishi zaidi nchini humo, Tay Grin amemshirikisha Vanessa Mdee kwenye wimbo wake mpya.
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal Thierry Henry ameondoka baada ya kukataa nafasi aliyopewa ya kufundisha wachezaji wa chini ya umri wa miaka 18.
Linah amesema hayupo tayari kuweka mahusiano yake wazi kwa sasa.