Loading...

MADAHA, ISABELA WAFANYA UFUSKA! USIOFAA KUIGWA HATA KIDOGO JIONEE MWENYEWE HAPA

PATA OFA YAKO LEO BOFYA HAPA CHINI KUJUA ZAIDI
SHARE HABARI HII NA MARAFIKI
Mpenzi Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Moja Kwa Moja
Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wakishikana kimahaba.
HAMNAZO? Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wamenaswa wakifanya vitendo vichafu maeneo ya Tabata jijini Dar baada ya kupiga masanga ya kutosha mwilini.
Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wakijiachia.
Kwa mujibu wa chanzo, Baby na Bella walifika maeneo hayo juzikati wakiwa wazima kabisa lakini baada ya kufakamia pombe kwa kasi ndipo walipoanza kufanya madudu huku mchumba wa Bella, Luteni Kalama, akiwakimbia na kuwaacha wenyewe.
Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wakiwa tungi.
“Walianza kushikanashikana kama wanasagana, wakapakatana huku wakiwa na chupa za pombe wakicheza kwa hisia za kimahaba kama mtu na mtuwe, yani Kalama anatakiwa ajiongeze vinginevyo mkewe mtarajiwa ataharibikiwa,” kilisema chanzo.
Baada ya paparazi wetu kunasa picha tukio hilo kutoka kwa sosi, aliwavutia waya wawili hao kwa nyakati tofauti ambapo walisema hawaoni tatizo katika mambo hayo waliyoyafanya.“Tulikunywa pombe zetu na hatukuwa na tatizo na mtu yeyote kuna shida gani? Hakuna vitendo vibaya tulivyofanya kwa sababu hatukugombana na tulikuwa tuko na amani na raha zetu,” alisema Baby huku Bella naye akitoa maneno yanayofanana kabisa na hayo ya Baby.
Wema Sepetu Who doesn't know Wema Sepetu !..even one year old child knows who Wema is. Apparently Wema is a superstar no discussion about that. Her movies do good business, but she is highly popular for personal life and her relationships especially with superstar Diamond Platnumz is still the most talked about in the media although they parted ways in late 2014. Wema has huge fan following but her acting is very normal lets is say poor. According to her fans in and outside Tanzania, no one like Wema even in acting. But when we look at her career graph it is had to say this or that is her best performance, but she looked good in Red Valentine. In some movies Wema's voice also need to be dubbed by another actress, her voice is very choosy when it comes to characters. But we think if she becomes serious with acting she will perform well Jokate Mwegelo The so-called multi-talented Jokate has indeed performed poorly in almost all of her movies. She debuted in Fake Pastors years ago. Although the film's story was good but it's leading ladies namely Jokate and Lisa Jensen both under performed. Today Lisa is a forgotten actress while Jokate keep doing movies. She has done From China With Love, Chumo, Mikono Salama. Although she was average in Chumo but she ended up being overshadowed by Johari in From China With Love. Even we wonder how she got Best actress for Mikono Salama at ZIFF since she didn't do justice to the role !. But we can conclude that she won the award because the year's movies submitted were few. We think Jokate should stick to presenting and designing not acting. She has so poor expressions and least convincing acting.
SHARE HABARI HII NA MARAFIKI
PATA OFA YAKO LEO BOFYA HAPA CHINI KUJUA ZAIDI

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Mirror | Designed By BONGOJAMII.COM
Back To Top