Loading...

Dabo kufanya kazi na wasanii wakubwa wa Reggae duniani

PATA OFA YAKO LEO BOFYA HAPA CHINI KUJUA ZAIDI
SHARE HABARI HII NA MARAFIKI
Msanii wa muziki wa Reggae Bongo, Dabo amesema kuwa yeye ni msanii wa dunia nzima siyo Tanzania pekee baada ya kutajwa kama kuwa mtumbuizaji bora wa Reggae duniani.



Akiongea na Bongopublisher, Dabo amesema, “Unaweza ukafanya kazi na msanii mkubwa na mzuri lakini kwako asifanye vizuri kwahiyo naangalia ni wimbo gani nitafanya nao.”

“Wapo wasanii ambao wakati naanza nilitamani kufanya nao kazi, lakini muziki wangu umesambaa sehemu kubwa sana. Mimi siyo msanii wa Tanzania pekee bali ni msanii wa kimataifa wa muziki wa Reggae na Danso. Nimetajwa kuwa mtumbuizaji bora wa muziki wa Reggae duniani kwahiyo unaweza kuona ni jinsi gani muziki wangu ulivyovuka mipaka zaidi duniani,” ameongeza Dabo.

Aidha Dabo amedai kuwa baada ya kuachia albamu yake mwishoni mwa mwaka huu atakuwa kwenye mipango ya kurekodi albamu yake ya pili ambayo tayari ameanza kurekodi kwa kuwashirikisha baadhi ya wasanii wakubwa kutoka nje.
Wema Sepetu Who doesn't know Wema Sepetu !..even one year old child knows who Wema is. Apparently Wema is a superstar no discussion about that. Her movies do good business, but she is highly popular for personal life and her relationships especially with superstar Diamond Platnumz is still the most talked about in the media although they parted ways in late 2014. Wema has huge fan following but her acting is very normal lets is say poor. According to her fans in and outside Tanzania, no one like Wema even in acting. But when we look at her career graph it is had to say this or that is her best performance, but she looked good in Red Valentine. In some movies Wema's voice also need to be dubbed by another actress, her voice is very choosy when it comes to characters. But we think if she becomes serious with acting she will perform well Jokate Mwegelo The so-called multi-talented Jokate has indeed performed poorly in almost all of her movies. She debuted in Fake Pastors years ago. Although the film's story was good but it's leading ladies namely Jokate and Lisa Jensen both under performed. Today Lisa is a forgotten actress while Jokate keep doing movies. She has done From China With Love, Chumo, Mikono Salama. Although she was average in Chumo but she ended up being overshadowed by Johari in From China With Love. Even we wonder how she got Best actress for Mikono Salama at ZIFF since she didn't do justice to the role !. But we can conclude that she won the award because the year's movies submitted were few. We think Jokate should stick to presenting and designing not acting. She has so poor expressions and least convincing acting.
SHARE HABARI HII NA MARAFIKI
PATA OFA YAKO LEO BOFYA HAPA CHINI KUJUA ZAIDI

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Bongo Mirror | Designed By BONGOJAMII.COM
Back To Top