Elizabeth Lulu Michael Launch and sell her bongo Movie video (Ni Noma)to mobile application of PROINBOX , Elizabeth lulu michael has made big announcement early Today of her Movie Ni noma, which give an Opprtunity for every
Mahusiano mengi yamekuwa yakivunjika kwa kushindwa kudumu kwa muda mrefu kutokana na kila mtu kumchoka mwenzake. Unaweza kuwa katika uhusiano kwa muda mrefu na kamwe usichoke kumwona au kutaka zaidi kutoka kwa mpenzi wako.
David Cameron alitoa hotuba ya kuaga kama waziri mkuu wa Uingereza kwa kusindikizwa na familia yake huku akisema amefurahia miaka yote aliyoishi 10 Downing Street.
Klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza imeorodheshwa ya tano kwa utajiri duniani na jarida la Forbes, thamani yao ikiwa imepanda kwa asilimia saba.
\Baada ya ushindi kinachofuata ni kusherehekea. Na hakuna sherehe nzuri kama unapomchukua mama yako mzazi na mwanao kuwapeleka kwenye kisiwa cha raha duniani, Ibiza, Hispania.