Mwili wa Brigedia Jenerali Hashim Mbita ukiswaliwa Msikitini. Mwili wa Marehemu Mbita ukiingizwa kwenye gari maalum la Jeshi kwa ajili ya kupelekwa makaburi ya Kisutu Dar kwa maziko. Safari ya kuelekea makaburini kwa ajili ya maziko ya Mbita....
Loading...
Home » Archives for April 2015
HOT NEWS,,UNENE WAMTESA SELENA GOMEZ
Staa wa muziki wa Pop, Selena Gomez. NEW YORK, MAREKANI WAZUNGU bwana! Staa wa muzikiwa Pop, Selena Gomez ameendelea kuteswa na unene ulioongezeka kwa muda mfupi huku mitandao ya kijamii ikimshambulia. Staa huyo aliyekuwa mpenzi wa staa mwenzake wa...
UNAPOMSIFU MPEZI WAKO KWA UJUZI WAKE, HUJIULIZI KAUTOA WAPI..!!

Kwetu tunaamini mchawi aliyekubuhu, ni yule aliyeuwa watu wengi zaidi. Au hata ukimuona dereva anakimbiza gari barabarani unaamini ana uzoefu wa udereva wa mda mrefu na atakuwa ameshawahi kuendesha magari mbali mbali. Sasa linapokuja swala la mahusiano,...
BARUA NZITO: WASTARA AOMBA RADHI, WAMUONYA KUBADILI MWELELEKEO !
Wastara Juma KWAKO mwanamke unayejua kuuvaa vyema uhusika katika sinema za Kibongo, Wastara Juma. Za siku nyingi? Uko poa mama!&ke? Ukitaka kujua afya yangu mimi ni mzima wa afya, naendelea na mishemishe zangu za kila siku kuhakikisha mkono unakwenda...
FAMILIA WASHAMBULIA DIAMOND ,,,,,TUNASHAKA NA MIMBA YA ZARI
SHAKA! Familia ya ‘President’ wa Kruu ya Wasafi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ imeamua kuweka kikao kummbana staa huyo aweke wazi kama ni kweli ana uhakika mimba aliyonayo mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari’ ni ya kwake au magumashi, Risasi Mchanganyiko...
FANYA HAYA..!! UNAPOTOKEA KUMPENDA MTU ALIYE NA MPENZI WAKE

Tumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ametuwezesha kuonana tena wiki hii tukiwa wazima. Lakini pia tumshukuru kwa kutuletea kitu kinachoitwa mapenzi. Mapenzi yamekuwa yakichukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku na yamekuwa yakichangia...
UKATILI ULIOJE! WAZAZI WAMPIGA, WAMFUNGA KAMBA MTOTO WAO, WAMFUNGIA NDANI
Katika hali inayoonyesha ukatili wa ajabu, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Asha Mohamed, akishirikiana na mumewe, walimfunga kamba miguu na mikono mwanaye wa kumzaa Salum Mohamed (9) na kumfungia ndani ya nyumba yake huku wenyewe wakienda kusikojulikana...
MKE ACHINJWA KISA KWENDA SALUNI
Stori: Dege Masoli, Tanga HII ni zaidi ya ukatili! Jiji la Tanga bado linazizima kufuatia mauaji ya kutisha yanayodaiwa kufanywa na mwanaume aitwaye Khalfan Hamad (46), dhidi ya mkewe, Mary Lucas (20) kwa kumchinja na panga kisa kikidaiwa ni wivu wa...
BREAKING NEWZ,,,, VURUGU ZAZUKA NCHINI BURUNDI BAADA YA RAIS NKURUNZIZA KUTEULIWA KUGOMBEA TENA URAIS
Waandamanaji wakiwa Mjini Bujumbura. Kumezuka ghasia katika Mji wa Bujumbura nchini Burundi kati ya maofisa wa polisi na waandamanaji wanaoishutumu serikali kwa kufanya mapinduzi ya kikatiba. Waandamanaji walirusha mawe na kuchoma matairi huku maofisa...
ARSENAL, CHELSEA NGUVU SAWA
Santi Cazorla akipiga mpira uliomgonga mkononi beki wa Chelsea Gary Cahill wakati wa mechi ya leo. Oscar wa Chelsea akikwaana na kipa wa Arsenal David Ospina wakati wa mtanange wa leo. Kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas akizawadiwa kadi ya njano baada...