Loading...

WAANDISHI WA HABARI RUVUMA WAPIGWA MSASA JUU YA UZURI NA UBAYA WA UCHIMBAJI MADINI YA URANI

Asasi 3 zisizo za kiserikali leo zimetoa elimu kwa waandishi wa habari mkoani Ruvuma juu ya uelewa wa uchimbaji wa madini ya urani. Asasi hizo ni Caritas, MVIWATA Ruvuma na TMMTF.Elimu iliyotolewa kwa waandishi hao wa habari ni kuimarisha elimu ya ushawishi...

KIONGOZI WA WASABATO DUNIANI AJA TANZANIA

  Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) duniani, Askofu Ted Wilson anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kikanisa ya siku nne.  Taarifa iliyotolewa na kanisa hilo, jijini Dar es Salaam, inaonesha kuwa kiongozi huyo anakuja...

AFISA ELIMU MBINGA AVULIWA MADARAKA

BARAZA la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma limemvua madaraka afisa elimu msingi wa wilaya hiyo Daniel Mkali baada ya kufanyiwa uchunguzi kwa muda kwa tuhuma mbalimbali zilizotajwa na baadhi ya madiwani pamoja na viongozi wa idara...

MBUNGE CCM AMVAA PINDA

Mbunge wa Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki amemtuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwa ndiye aliyekuza mgogoro wa Bukoba uliosababisha madiwani wa halmashauri kushindwa kufanya vikao, akidai kuwa mtendaji huyo mkuu wa Serikali ameshindwa...

AJALI MBAYA YATOKEA KIHESA IRINGA WATU WATATU WAFA NA KUWAKA MOTO

Ajali mbaya imetokea huu wa usiku Mjini Iringa eneo la kihesa Kilolo baada ya watu watatu waliokuwa kwenye bodaboda kugongana na lori aina ya fuso iliyokuwa inatoka mjini Iringa kuelekea Dodoma ktk barabara ya Iringa -Dodoma na wote watatu wamekufa...

Haya Ndio Maisha aliyopitia Mh January Makamba Toka Anazaliwa Mpaka Hapo Alipofikia!

Nilizaliwa tarehe 28 Januari 1974 mjini Singida, kwa Bi. Josephine Joseph na Bwana Yusuf Makamba. Mwaka 1978, nilipelekwa kuishi kijijini kwa bibi mzaa mama Kyaka, Kagera wakati mama ameenda kuendelea na masomo ya uuguzi. Kijijini kwetu ilikuwa umbali...
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 Bongo Mirror | Designed By BONGOJAMII.COM
Back To Top