Loading...

P-SQUARE KUMZIKA BABA YAO KESHO IJUMAA BAADA YA KUFARIKI MIEZI MIWILI ILIYOPITA!

Mzee Moses Okoye na mtoto wake Peter wa P Square. Hii ilikuwa siku ya harusi ya Peter.November 26, 2014 taarifa kubwa kutoka Nigeria ilikuwa ni taarifa ya msiba wa mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, P Square.Tangu mzee huyo...

AJALI YA MOTO KICHANGA CHAOKOA FAMILIA!

KICHANGA kinachokadiriwa kuwa na umri wa miezi nane, wiki iliyopita kiliiokoa familia yake kuteketea kwa moto, baada ya kuamka usiku na kulilia kunyonya, kitendo kilichomshtua mama yake aliyebaini nyumba yao ilikuwa ikiungua, huko Kibamba Lungwe jijini...

KIJANA AUAWA NA KUTELEKEZWA KARIBU NA KAMBI YA FFU

Kijana ambaye hakufahamika jina anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa katika eneo la kambi ya Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kata ya Nshambya mkoani Kagera.Mwili huo uligundulika majira...

Kaseja kupandishwa tena kizimbani february 22

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja kupitia kwa wakili wake, Samson Mbamba, jana amesomewa shtaka lake kwa mara ya kwanza la kuvunja mkataba kwenye Mahakama ya Kazi.Kesi hiyo itaunguruma tena Februari 12 na Yanga wanataka Kaseja awalipe Sh340 milioni ikiwa ni...

YANGA KUMPANDISHA KIZIMBANI JUMA KASEJA

Baada ya Uongozi wa Klabu ya Yanga kutangaza kuachana na aliekuwa mlindamlango wake Juma Kaseja na baadae kumfungulia mashtaka katika Mahakama ya kazi , hatimaye mlind amlango huyo sasa anatarajia kusomewa mashtaka yanayomkabili February 12 mwaka huu.Hatua...

YULE MAMA MWENYE MAPACHA 6 ALIYEKIMBIWA NA MME ETI KISA ANAZAA SANA APATIWA NYUMBA NA COVENANT BANK

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Covenant Bank Balozi, Salome Sijaona(Katikati) akikata utepe, kuashiria uzinduzi Rasmi wa nyumba aliyokabidhiwa Salome Mhando ambaye alitelekezwa na mume wake baada ya kujifungua watoto mapacha mfurulizo hadi kufikia...
Newer Posts
© Copyright 2025 Bongo Mirror | Designed By BONGOJAMII.COM
Back To Top